one of those songs that really leave you thinking twice bout yourlife an how you leave it ,here are the lyrcs to Kambua's "Nishikilie"..sing along

Wewe ni nguzo yangu
wewe kimbilio langu
Mwanga wangu
Baba yangu
Nikikimbia nimkimbilie nani
nikikilia nimlilie nani
nikianguka nani aniamshaye
nikilala nani anilindaye

Nishikilie niongoze mbali na waovu
Baba eh
Nionyeshe njia zako
nami nitazifuata milele

Gongo lako
na fimbo yako
vya nifariji Baba eh
waanda meza mbele yangu
machoni pa watesi wangu

Nishikilie....
© Kambua

Comments

Popular posts from this blog

My Ex.

The 99% Club