Binti Flani

mschana mrembo brown skin,
dame mwembamba mslim vifiting,
mtoto asiye na stori mingi,
kasheshe na udaku wa wamama amepiga wembe,
naongea kuhusu msichana kipusa,
akili,sura na figure
za angamiza upweke wa kijana,
kuleta porojo kwa serikali flani.
Kutembea kwingi ni kuona mengi,
dame ambaye hana bureaucracies mingi,
kushika keg katikati ya wiki
na kukamua chupa za Guinness weekendy,
nakwambia kuhusu mtoto flani,
dame anatembea ankuacha ukikonda,
dame kwenye kucha,lips na swagger,
ni dame edible ata after midlife crisis,
msichana amejipa heshima,
amejiweka na kando siri chache,
smile mwangaza timaam kama jua,
roho kunjufu kupindukia,
ni msichana mrembo ki akilli,
ki miaka ni somewhat mature,
Ni dream girl rohoni,
Akilini ukweli bado ako form one,
™©Mwangi Njoroge

Comments

Popular posts from this blog

Book reviews : momo the monkey arrives & momo makes a mess

The 99% Club